MMM Ramani ya tovuti Mrejesho

Halmashauri Ya Wilaya Ya Morogoro

Shughuli za Kiuchumi

Karibu Halmashauri ya Wilaya Morogoro

Halmashauri ya wilaya ya Morogoro ni moja kati ya Halmashauri sita Zilizopo katika mkoa wa Morogoro. Halmashauri ipo Kaskazini Mashariki ya mkoa wa Morogoro kati ya nyuzi 6º00’ na 8º00’ Latitudi Kusini mwa Ikweta na kati ya longitude 36º00’ na 38º’ Mashariki ya Greenwichi. Imepakana na wilaya za Bagamoyo na Kisarawe (Zilizopo mkoa wa Pwani) kwa upande wa mashariki, Wilaya ya Kilombero kusini na wilaya ya Mvomero kaskazini magharibi.

Habari na Matukio

Tarehe: 19 Aug 2016

Mkuu wa mkoa wa Morogoro Dkt Stephen Kebwe ameamuru kutaifishwa kwa mbao 540 na magunia ya mkaa 340 vyenye thamani ya Tsh 30,000,000/-vilivyokutwa kwenye ghala la kuhifadhia mizigo katika kituo cha reli ya TAZARA cha Kisaki.

Tarehe: 15 Aug 2016

SHIRIKA la maendeleo la Uholanzi SNV kwa kushirikiana na chuo kikuu cha TWENTE kilichopo nchini humo ,chuo kikuu cha Dar es salaam na shirika la wataalamu wa tehama CWOB la nchini Marekani wamewajengea uwezo wadau wa maji waliopo halmashau...

Tarehe: 20 Jul 2016

Wakuu wa Idara na vitengo wa halmashauri ya wilaya ya Morogoro wametakiwa kuwatendea haki watumishi wa chini yao kwa kutimiza wajibu wanaopaswa kuwatimizia na kuhakikisha wanaendelea kufanya kazi katika mazingira salama.